18th January, 2019
Wakati huo huo mahakama iyo hiyo ya upeo imefutulia mbali rufaa iliyokatwa na Francis Mureithi aliyepinga ushindi wa Babu Owino kama mbunge wa Embakasi Mashariki. Wakili wa babu Owino James Orengo amezungumza na wanahabari muda mchache uliopita