Mahakama ya upeo yaamuru kufanywa upwa kwa uchanguzi eneo bunge la Wajir Magharibi
KTN News Jan 18,2019
Mahakama ya upeo imaeamuru kufanywa upya kwa uchaguzi katika eneo bunge la Wajir Magharibi baada ya kubainika kwamba palikuwepo visa vya wizi wa kura katika kituo cha kupigia kura cha qara. Hivi ndivyo ilivyokuwa mapema asubuhi ya leo katika mahakama hiyo.