×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Afisa wa NYS Selessio Karanja apata kifungo cha miaka 4 baada ya kupatikana na hatia ya ulaghai

18th January, 2019

Aliyekuwa afisa wa kitengo cha uagizaji katika huduma za vijana kwa taifa, NYS Selesio Karanja, amehukumiwa kifungo cha miaka minne gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika kwenye ulaghai katika sakata ya NYS. Hakimu lawrence mugambi alisema kwamba mshtakiwa karanja, atahitajika kulipa faini ya shilingi milioni 5 pia, baada ya upande wa mashtaka kuthibitisha kesi dhidi yake bila shauku yoyote. Hakimu  mugambi pia alisema kwamba baada ya mshtakiwa kukamilisha adhabu ya kifungo, hatoruhusiwa kuhudumu katika nafasi yoyote ya umma serikalini. Selesio karanja amekuwa mtuhumiwa wa kwanza katika sakata ya NYS

.
RELATED VIDEOS