Tracy Wanjiru anusirika Kifo kwa mara ya pili kwa mashambulizi ya ugaidi ya Westgate na Riverside

KTN News Jan 18,2019


View More on Leo Mashinani

Tunaposema "ana bahati kama mtende" tunamaanisha mtu mwenye bahati katika hali isiyo ya kawaida. Tracy Wanjiru ambaye kufuatia Shambulizi la huko Riverside siku ya juma nne, ni kweli Tracy ana bahati kama mtende pia alipatana pabaya wakati wa shambulizi wa westgate