.
18th January, 2019
Rafikize ali salim gichunge maarufu Farouk aliyehusishwa na shambulizi la kigaidi katika jumba la dusit bado wamepigwa na butwaa kusikia jinsi bwana huyo ambaye aliondoka Isiolo alikozaliwa mwaka wa 2015 wasimuone tena