×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Walimu wa kuu Kaunti ya Makueni waunga mkono mfumo wa NEMIS katika kuwasajili wanafunzi

14th January, 2019

Walimu wakuu katika kaunti ya makueni wameunga mkono matumizi ya mfumo wa kuwasajili wanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule za upili <style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 17.0px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} </style> NEMIS huku wakisema kuwa mfumo huo unazuia visa vya ufisadi. Mwalimu mkuu wa shule ya upili ya wavulana ya Matiliku Johnstone Ndivo amesema wakati huu ilikuwa rahisi sana kuwasajili wanafunzi shuleni huku wazazi wakitilia mkazo kwamba wametumia muda mfupi mno kupokelewa shuleni

.
RELATED VIDEOS