.
14th January, 2019
Msichana mwenye umri wa miaka kumi na miwili kutoka kijiji cha Selengei eneo la Loitoktok kaunti ya Kajiado ameokolewa asikeketwe na kuolewa akiwa mdogo. Msichana huyo sasa atarejeshwa shuleni kuendelea na masomo yake.