×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mkuu wa Polisi Joseph Boinnet atoa onyo kwa maafisa wa akiba NPR wanaozembea kazini.

14th January, 2019

Mkuu wa polisi Joseph Boinett ametoa onyo kwa Maafisa wa akiba ?NPR wanaozembea kazini kwamba chuma chao ki motoni. Boinet amesema serikali imeweka mikakati kabambe ya kukabiliana na maafisa wanaodumaza huduma ya usalama aidha boinett alidokeza kuwa ipo haja ya kutafuta suluhu la kudumu kwenye mizozo baina ya jamii Zinazohasimiana kwa kutumia maendeleo kama kigezo muhimu cha kubadili mustakabali wa jamii zinazoishi kwenye maeneo Kame. Hata  hivyo Boineet aliwataka wakaazi kushirikiana na polisi katika kuimaraisha usalama unaoshuhudiwa miongoni mwao. Boinet aliyasema haya huko bonde la Kerio.

 

.
RELATED VIDEOS