×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kiongozi wa chama cha Ford Kenya Moses Wetangula asisitza kuwa atakua debeni kuwania urais 2022

14th January, 2019

Kiongozi wa chama cha Ford Kenya Moses Wetangula amesisitiza kuwa atakuwa debeni katika kinyangányiro cha urais wa 2022. Akizungumza  akiwa Magharibi mwa Kenya amesema kwamba wakati huu ni wake wala hayuko radhi kumwachia yeyote nafasi hiyo pindi wakati huo utakapofika. Wetangula alikuwa mmoja wa viongozi wa muungano wa upinzani nchi NASA katika uchaguzi mkuu uliopita lakini akajitenga na kundi hilo baada ya kutofautina na aliyekuwa kinara wa kundi lao Raila Odinga

.
RELATED VIDEOS