Gavana wa Nairobi Mike Sonko kwa mara nyingine amekosa kumtaja atakayekuwa naibu wake

KTN News Jan 11,2019


View More on KTN Leo

Gavana wa Nairobi Mike Sonko kwa mara nyingine amekosa kumtaja atakayekuwa naibu wake licha ya kutoa taarifa awali kuwa angefanya hivyo.