Watu wapitao 52 wamelazwa kwenye hospitali ya Longisa baada ya kula nyama isyokuwa salama

KTN News Jan 11,2019


View More on KTN Leo

Watu wapitao 52 wamelazwa kwenye hospitali ya Longisa baada ya kula nyama isyokuwa salama. wenyeji hao walishiriki chakula hicho kwenye mazishi katika kijiji cha tabook wadi ya mutarakwa kaunti ya Bomet.