Wakenya waomboleza kifo cha Conrad Njeru almaarufu Tiger Power

KTN News Jan 04,2019


View More on KTN Leo

Jamaa na marafiki wanaendelea kuomboleza kifo cha Conrad Njeru almaarufu Tiger Power mwanamme aliyezingatiwa kuwa na nguvu zaidi barani afrika ambaye aliyeaga dunia siku ya jumatano. Tiger power atakumbukwa kwa kuwa na uwezo wa kuinua uzani, kuvuta magari kwa kutumia meno yake na pia kuvunja misumari kwa kutumia meno.