4th January, 2019
Licha ya kupoteza mechi nne kati ya mechi tano za ligi kuu ya taifa ambazo wamecheza msimu huu, Timu ya Soka ya KCB ina imani kwamba ikimakinika zaidi itapata ushindi wao wa kwanza msimu huu dhidi ya kariobangi sharks siku ya jumapili.