Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Nzoia alitekwa nyara na watu wasiojulika

KTN News Jan 03,2019


View More on KTN Leo

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya sukari ya Nzoia Michael Kulundu anauguza majeraha katika hospitali ya rufaa ya Moi mjini Eldoret baada ya kutekwa nyara na watu wasiojulikana jumatano usiku. Kulundu anaidaiwa kutekwa nyara akiwa katika hoteli ya salmond iliyo katika barabara ya kanduyi kuelekea sikata, katika kaunti ya Bungoma.