KNUT na TSC wameanda kikao cha mazungumzo jinsi walivyoamrishwa na mahakama
3rd January, 2019
Chama cha Waalimu nchini KNUT na tume ya kuwaajiri waalimu TSC wameanda kikao cha mazungumzo jinsi walivyoamrishwa na mahakama. Hii ni baada ya mahakama kutupilia mbali mgomo wa walimu pamoja na uhamisho wao.