Timu ya Wazito imeapa kuipa timu ya Shabana wakati mgumu

KTN News Jan 03,2019


View More on Sports

Timu ya Wazito imeapa kuipa timu ya Shabana wakati mgumu wikendi hii wakati timu hizo mbili zitakapochuana siku ya jumamosi ugani gusii kwenye mchuano wa ligi ya daraja la pili nchini nsl.licha ya kupoteza mechi yao ya mwisho dhidi ya ushuru ,timu hiyo inashikilia kwamba bado inasaka kurejea kwenye ligi kuu ya kandanda KPL.