.
27th December, 2018
Maandamano Kibera baada ya polisi kumuua mwanafunzi wa chuo kikuu cha Leeds. Inasemekana mwanafuzi huyu alikua anatoka kuona mpira walipopigwa risasi na kufariki mtaani Kibera