Mbunge wa Cherengany Joshua Kuttuny asema serikali yasitahili kuwalipa wakulima 3600 kwa kila gunia

KTN News Dec 27,2018


View More on Leo Mashinani

Mbunge wa cherengany Joshua kutuny amesema kuwa viongozi kutoka eneo la kaskazini mwa bonde la ufa wataendelea kuishinikiza serikali kuongezi bei ya mahindi. Kuttuny amesema kuwa serikali inastahili kuwalipa wakulima shilingi 3600 kwa kila gunia la kilo 90 kwa mahindi yatakayowasilishwa katika magala ya halmashauri ya kitaifa ya nafaka na mazao ncpb. Mbunge huyo amesema kuwa  wakulima wa mahindi huenda wakashindwa kuwarejesha watoto wao shuleni  kwa kukosa pesa