26th December, 2018
Jeshi la kdf katika sehemu ya msitu wa boni kaunti ya lamu, waliokoa uhai wa mama mja mzito aliyekua na uchungu na kumsafirisha kwa ndege hadi katika hospitali kuu ya amu. Kulingana na taarifa, mama huy alijifungua salama, ingawa wenyeji wanaiomba serikali kuwajengea hospitali karibu nao