Musalia Mudavi amtaka Raisi Uhuru Kenyatta kuwalenga maafisa wa ngazi ya juu serikalini wachunguzwe

KTN News Dec 26,2018


View More on Leo Mashinani

Kiongozi wa chama cha anc musalia mudavadi sasa anamtaka rais uhuru kenyatta kuwalenga maafisa wa ngazi ya juu serikali katika vita vinavyoendelea dhidi ya ufisadi. Mudavadi amesema kuwa kuna baadhi ya wanasiasa wanaotoa pesa nyingi katika michango bila kueleza wanakotoa pesa hizo na kutaka wachunguzwe. Alikuwa akizungumza na katika eneo la butere.