×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Bondia chipukizi Kamala ajiunga na masumbwi ya kulipwa

24th December, 2018

Bondia chipukizi kutoka kenya david kamala amejiunga na masumbwi ya kulipwa baada ya kushiriki katika ndondi za kujifunza. Kamala anatarajia kuimarika na kupata matokeo mazuri. Na ijapokuwa ameipata nafasi hii, bondia huyo anafahamu fika changamoto zinazomsubiri na yupo tayari kupambana nazo ima fa ima ili kupata mataji anayoyakamia.

 

.
RELATED VIDEOS