Wanaume bwege waonywa dhidhi ya kutoweka baada ya watoto wao kuzaliwa

KTN News Dec 18,2018


View More on Leo Mashinani

 

Vijana wafanyibiashara kutoka kaunti ya Embu wametoa wito kwa vijana wenzao walio na tabia yakuzalisha kisha kuwatoroka watoto wao wakome tabia hiyo isiyo na ustaraabu. Vijana hao wajiitao timu kali wanadai kuwa eneo hilo limeshuhudia ongezeko la watoto wanaorandaranda mitaani kwa sababu ya wanaume wasiowajibika Charles Ndiragu ni mmoja wa viongozi wao aliyewaongoza wenzake kutoa kauli hizo katika taasisi ya Embu Children Welfare Society