18th December, 2018
Kambi ya wakimbizi ya Hagardera ilioko Dadaab, imekuwa hifadhi kwa wakimbizi takriban miaka ishirini. Baadhi yao wamewasili kambini humo, kama hawana chochote. Lakini leo mambo ni tofauti, wamepata masomo na kufanya biashara tofauti.