×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Serikali ya Nairobi kuwapeleka shuleni watoto wanorandaranda mitaani, kuanzia mwaka kesho

17th December, 2018

Serikali ya nairobi inapania kuwapeleka shuleni baadhi ya watoto wanorandaranda mitaani, kuanzia mwaka kesho. Watoto hao ni baadhi tu ya wale walioondolewa mitaani na maafisa wa kaunti na kuanzishiwa mipango ya kuwarekebisha tabia katika eneo bunge la Makadara. Waakilishi wa wadi wa kike katika kaunti ya nairobi waliwaandaliwa watoto hao sherehe na kuwapelekea zawadi maridhawa. 

.
RELATED VIDEOS