×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Francis Atwoli ataka mabadiliko kwenye katiba kabla ya uchaguzi wa mwaka 2022

15th December, 2018

Katibu wa Muungano wa Wafanyikazi COTU Francis Atwoli amesisitiza lazima kutakuwepo na mabadiliko ya kikatiba kabla ya uchaguzi wa mwaka 2022. Mabadiliko hayo yataleta usawa wa kiuongozi na  kusuluhisha changamoto na mizozo  ya kisiasa ambayo imekuwa ikishuhudiwa. Aliyasema hayo katika hafla ya mahafala ya chuo cha masinde muliro  alipotuzwa na shahada kutokana na juhudi zake za kuleta hamasa kuhusu harakati za wafanyikazi nchini.  

.
RELATED VIDEOS