15th December, 2018
Naibu Rais William Ruto ametetea mpango wa serikali wa kutoza ada ya asili mia 1.5 kwa mishahara ya wakenya kufanikisha ujenzi wa makazi. Haya yanatokea wakati viongozi wa miungano ya walimu na ya wafanyakazi wakieleza tashwishi yao na mpango.