Wakenya kusubiri kwa mwaka kabla ya mtaala mpya wa 2-6-6-3 kung’oa nanga

KTN News Dec 15,2018


View More on Leo Mashinani

Wakenya sasa watalazimika kusubiri kwa mwaka mzima tena kabla ya mtaala mpya wa 2?6?6?3 kung’oa nanga rasmi kwenye shule kote nchini. Haya ni kwa mujibu wa waziri wa elimu amina mohammed ambaye amekosoa mpangililio mzima wa mtaala huo kabla ya kuanza kutumika kwenye baadhi ya shule nchini.