×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu watano wauawa na watisa wajeruhiwa katika ajali eneo Malili | KTN Mbiu

10th December, 2018

Watu watano wamefariki dunia papo hapo huku tisa wakipata majeraha mabaya katika ajali ambayo imefanyika katika eneo la malili kwenye barabara kuu ya Mombasa?Nairobi leo asubuhi. Kulingana na walioshuhudia ajali hiyo,ni gari binafsi la watu kumi na wanne lililokuwa limebeba watu wa kanisa moja lilikuwa likitoka upande wa Nairobi na lilogongana ana kwa ana na lori lililokuwa likitoka upande wa Mombasa na kusababisha vifo vya watu hao. Waliojeruhiwa wamepelekwa katika Hospitali ya Machakos level 5 kupata matibabu ya dharura nao maafisa wa trafiki wakiendelea kudhibiti hali ya usafiri kuhakikisha kwamba hakujashuhudiwa msongamano wa magari.

.
RELATED VIDEOS