×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanamke ateketeza nyumba na kujiua na wanawe kijijini Kandalo

10th December, 2018

Mwanamke mwenye umri wa miaka 26, katika Kaunti ya Kisumu Kijiji cha Kandalo ameiteketeza nyumba yake na kujitoa uhai pamoja na watoto wake wawili. Inaaminika kwamba mwanamke huyo alichukua uamuzi huo baada ya ugomvi wa kifamilia. Polisi wanachunguza kisa hicho.

.
RELATED VIDEOS