7th December, 2018
Kiongozi wa mashtaka ya umma Noordin Haji amesisitiza kwamba hajuti kumwalika wakili Qureshi katika kesi ya naibu wa jaji mkuu Philomena mwilu.amesema kuwa ni sharti viongozi waweze kuwaajibika katika nafasi walizopewa kuhudimia umma, tusikilize alivyosema dakika chache ambazo
zimepita.