×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanaume auawa kwa kudaiwa kuiba kuku wa jirani | Mbiu ya KTN full bulletin sehemu ya kwanza

29th November, 2018

Mwanamme mmoja mwenye umri wa miaka 24 ameuawawa kwa kupigwa kwa madai kuwa aliiba kuku wa jirani katika kijiji cha Lukhome eneo bunge la Kiminini kaunti ya Trans Nzoia. Taarifa zinasema kuwa kundi la vijana katika kijiji hicho walimpiga mwanamme huyo aliyetambuliwa kwa jina la Sammy Wabulakha wakimshurutisha asalimishe kuku waliodai kuwa alikuwa ameiba.

.
RELATED VIDEOS