Mkufunzi wa klabu ya Kariobangi sharks William Muluya ameonya vigogo wa Djibouti Altar Solar FC
26th November, 2018
Mkufunzi wa klabu ya Kariobangi sharks William Muluya ameonya vigogo wa djibouti altar solar fc kwamba ng'o hawatoki kugani moi sports center kasarani na chochote katika mchuano wao wa mashirikisho hapo kesho.