×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mama mmoja auguza majeraha baada ya kuchomwa na maji na jirani yake

23rd November, 2018

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka thelathini na tano anauguza majeraha ya kuchomwa na maji na jirani yake katika mtaa wa kibra Nairobi. 

Japokuwa bi na bwana waliomtendea unyama huo wanazuiliwa katika kituo cha polisi, mama huyo angali hajapata matibabu kutokana na hali duni ya maisha yake. 

.
RELATED VIDEOS