Kuikumbuka mizani ya 'kilo' |Zilizopendwa

KTN News Nov 23,2018


View More on KTN Mbiu

Upimaji wa uzani kwa kutumia mawe ya chuma almaarufu kilo umekuwepo tangu zamani ila kwa sasa umeanza kudidimia kutokana na ujio wa teknolojia ya kisasa ya kupima uzani.