×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Aliyekua mwanaharakati wa kisiasa Mutinda Kavemba afariki

14th November, 2018

Mwanaharakati wa kisiasa na afisa mkuu wa maswala ya uchukuzi katika na ujenzi wa miradi ya umma katika Kaunti ya Nairobi Richard Mutinda Kavemba ameaga dunia baada ya kuugua kwa kipindi kifupi. Akitoa tangazo la kifo cha Kavemba, gavana wa Kaunti ya Nairobi Mike Sonko amesema kuwa Kavemba alikuwa amelazwa katika Hosipitali ya Nairobi siku chache zilizopita. Anakumbukwa kwa kushiriki kama mchambuzi katika kipindi cha maswala ya siasa cha Sunday Edition katika runinga ya KTN News kila siku ya jumapili.

.
RELATED VIDEOS