Nyeti ni nyeti : Mwanaume ajikata sehemu zake za siri baada ya mkewe na mtoto kufariki

KTN News Nov 09,2018


View More on Leo Mashinani

Mwanamume aliyejinyofoa nyeti zake miaka mitatu iliyopita  kwa kile alichokitaja kuwa ugumu wa maisha anaomba msaada wa kimatibabu ili apone na aregeshewa bidhaa zake panapostahili. Wilfred Kamande mwenye umri wa miak 47 kutoka kata ya kahumbu eneo Bunge la Kigumo alielezea jinsi alivyojikata sehemu zake za siri mwaka wa 2016 baad aya mkewe na mtoto wake kufariki na kumuahchia mzigo wa malezi bntiye aliyesalia na mjukuu. Kilio chake kilimfikia mwakilishi wa kike Sabina Chege ambaye aliambatana na viongozi wengine Kutoom kaunti ya Muran'ga alioahidi kumsaidia.