Vitimbi vya wauguzi katika hospitali ya Kenyatta |Mirindimo
2nd November, 2018
Kwenye makala yetu ya mirindimo tunaangazia vitimbi vya
wauguzi hospitali ya Kenyatta na purukushani maeneo ya
Kisii. Kuu likiwa hata kina mama wamemwiga Miguna Miguna,
hawakamatwi na kubebwabebwa ovyo ovyo.