2nd November, 2018
Je wajua kuwa waeza soma kitabu huku ukiendesha gari, sokoni au hata ukishiriki michezo?
Hii ni kupitia teknolojia mpya sana ya kusikiza vitabu kupitia sauti. na kama Tobias Chanji anavyoripoti kutoka milki za kiarabu njia hii ni madhubuti sana kwa wale wenye uvivu wa kusoma.
Haya na mengine mengi katika makala ya Dira ya Wiki