×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shule Chakavu kaunti ya Kwale: watahiniwa wa KCPE kfanya mtihani

29th October, 2018

 

        Huku watahiniwa wa darasa la nane wa mwaka huu

        Wakijiandaa kwa mtihani wao wa kitaifa wa kcpe

        Tumekuandalia taarifa kuhusu hali ya kutamausha ya elimu

        Katika kaunti ya kwale. Madarasa yanayoanguka, ukosefu

        Wa vyoo na miundo msingi muhimu ni hali ambayo shule nyingi

        Hapa zinapitia anavyoripoti tobias chanji.

.
RELATED VIDEOS