26th October, 2018
Je umewahi kufikia mwalimu akimwadhibu afisa wa polisi?
Afisi mmoja wa polisi alichapwa kama nyoka na mwalimu huko Kericho. Si hayo tu Naibu Rais William Ruto alimjibu Raila Odinga kuwa safari Caanan na mwisho mama mmoja huko mazeras ametuonyesha kuwa yumo katika ushairi.
Paul nabiswa anaarifu katika makala ya mirindimo.