Mwanaharakati Okiya Omutata ndiye shujaa wa Wakenya wengi

KTN News Oct 20,2018


View More on KTN Leo

Okiya Omutata si mgeni machoni mwa wengi ? wengi wanamuita mtetezi wa raia katika maswala ya haki na sheria. Mwanaharakati huyu wa miaka 10 taaluma yake ni uhandisi kutoka chuo cha mafunzo anuai cha T.U.K. na wala sio sheria. Haya hapa makala yake yanayokueleza ni kwa nini wakenya wanamtaja kama shujaa wao kiasi cha kumchangia pesa za kukidhi mahitaji ya shughuli zake mahakamani.