Sabuni ya kipande imepegwa marufuku katika Kaunti ya Trans Nzoia

KTN News Oct 16,2018


View More on KTN Leo

Huenda matumizi ya sabuni ya kipande kunawa mikono katika maeneo ya umma yakatupwa katika  kaburi la sahau katika kaunti ya transnzoia. Haya ni kwa mujibu wa afisi ya huduma za afya ya umma katika kaunti hiyo ambayo imesema kwamba sabuni ya kipande inachangia katika kueneza viini vinavyosababisha maradhi.