Eliud Kipchoge na Beatrice Chepkoech watuzwa Kenya
16th October, 2018
Eliud Kipchoge amekabidhiwa tuzo ya mwanamichezo bora nchini wa mwezi septemba, kipchoge alishamiri katika mbio za berlin alipoandikisha rekodi mpya ya dunia kwa kumaliza ndani ya saa mbili dakika moja na sekunde 39.