16th October, 2018
Kocha Innocent Simiyu anayeondoka afisini ameomba usimamizi wa chama cha raga nchini utilie maanani maslahi ya wachezaji na wakufunzi. Simiyu ameyesema hayo aliporejea nchini kutoka Tunisia ambapo aliiongoza shujaa kumaliza ya pili katika mashindano ya ubingwa wa Afrika.