16th October, 2018
Kiungo wa zoo Kericho Michael Madoya amesema kwamba lengo lake msimu huu lilikua ni kuwaonesha wakenya kwamba hakushinda tuzo ya mchezaji bora msimu ulipita ki bahati. Mchezaji huyo alifunga mabao 14 msimu huu na kuisadia zoo kusalia kwenye ligi.