Waathiriwa wa ajali ya barabarani kutokea eneo la Tunnel walikimbizwa kwenye hospitali

KTN News Oct 10,2018


View More on KTN Leo

Huku ajali hio ikiwahuzunisha wakenya baada ya watu 52 kupoteza maisha, waathiriwa waliweza kukimbizwa kwenye hospitali mbali mbali moja wapo ikiwa hospitali ya wilaya ya Fort Ternan.