Mzozo wa ardhi mbeere: Ruto atakiwa kusitisha mpango wa vyeti

KTN News Oct 08,2018


View More on Leo Mashinani

Shinikizo linalizidi kumkaba naibu rais William Ruto kutupilia mbali mipango ya kutoa hati miliki kwa wenyeji wa mbeere kusini kwa ardhi inayokumbwa na mzozo wa umiliki. Ruto inadaiwa, anatarajiwa kufungua sajili ya ardhi ya kiritiri na kupeana hati miliki zipatazo 9,100. wanaolalamika wanasema kuna msukumo kutoka kwa baadhi ya viongozi hati miliki zitolewe kama njia ya kujishindia umaarufu.