×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Polisi mashakani baada ya mwekezaji kudai kituo kihamishwe

8th October, 2018

Mwekezaji wa kibinafsi katika eneo la makongeni mjini thika amezua kizaazaa baada ya kutaka kituo cha polisi cha makongeni ambacho amedai kimejengwa katika ardhi yake kihamishwe mara moja. Taarifa zinasema kuwa mwekezaji huyo kupitia tume ya ardhi ?nlc amemwandikia barua ocs wa kituo hicho  james mwita  akitoa ilani ya kutaka polisi waondoke katika ardhi hiyo. Hata hivyo kamishna wa eneo la kati Wilson Njega pamoja na mbunge wa thika  patrick wainaina wameapa kuwa kituo hicho hakitahamishwa na mwekezaji huyo.

.
RELATED VIDEOS