×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana Sospeter Ojaamong' apewa masharti makali na wawakilishi wa wodi

5th October, 2018

Gavana wa Busia Sospeter Ojaamong ana kibarua kigumu cha kisiasa kutoka kwa wawakilishi wa wodi ambao wamempa masharti ya kutimiza ama wapige kura ya kumtimua afisini. 

Wametishia kutopisha baadhi ya miswada. Hata hivyo Ojaamong' amesema kuwa taratibu za kumwondoa gavana afisini zina kanuni nzito

.
RELATED VIDEOS