5th October, 2018
Mkewe rais wa Marekani Melania Trump yuko nchini kenya baada ya kuzuru nchi za Ghana na Malawi.
Hata hivyo ziara hii imekuwa na usiri mwingi kwa kiasi fulani wala Melania hakutoa hotuba katika vituo alivyotembelea.
Mwanahabari wetu Paul Nabiswa anamchambua melenia akiwalinganisha kwa kiasi fulani na baadhi ya wake wa marais wa Marekani